Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Una mambo ya Kifataki Fataki wewe[emoji23] [emoji23] [emoji125]
Wa kuteka wake za watuBob taarifa zilizopo ni kwamba ulienda Mogadishu kujifunza ujasusi[emoji2] [emoji2]
Oooh lawd !!!Una mambo ya Kifataki Fataki wewe[emoji23] [emoji23] [emoji125]
U mwanamke wa shoka baby...[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Likely likes...400 ya nini
Wanageuka wamuone shemeji alivyoumbika[emoji3] [emoji3][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hayo ni baadhi ya maneno ya makwazo kutoka kwako... Wanageuka ili waone nini?
Tumekudekeza muda mrefu....Hahaaaa... Iko kazi hapa!
Poa poa poaAmu gudi[emoji106]