Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-19-19-42-04.png
 
Yes, kama utaweza; Please! Unong'one lakini, si unajua jamaa anakaba mpaka penati! [emoji23][emoji1550]
Ninong'one[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Bora niache kukusalimia muhenga wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sasa nyie si mnaleta siasa na uanaharakati wenu huku jamani. Na mkijibiwa kidogo tu mnaripuka? Kuna sababu wengine tumekimbia jukwaa la siasa lakini sasa jukwaa la siasa mnapolihamishia huku tena kwa vionjo vile vile mnataka wengine tufanyeje?

Siasa na mambo ya dini tuyaacheni huku. Na mtu akiamua kuyaleta akijibiwa basi asikasirike na kuanza kutoa mapovu. Tuvumilianeni tu kwa sababu hakuna namna !!!
AMUN RA
 
Back
Top Bottom