myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
09:11
Ahsante mkuu, ujio wa huyu MSIMOLO Bob12 ni shida sana.Hahahahaha pole sana mkuu daha
Kwani mnautofauti gani? Mmekuwa wasumbufu kupita maelekezo[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nashangaa anamnyatia shemeji yangu mpenzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] habari yako mkuu AndjulKwani mnautofauti gani? Mmekuwa wasumbufu kupita maelekezo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Habari ya asubuhi kiongozi?
NakusalimiaKichwa Kichafu siku hizi haeleweki ila yule LY anaweza saidia
Cameo walikua wanaonyesha picha za kihindi tu, na sana sana za zamani. Na pia Odeon wenyewe nao walikua wanaonyesha picha mchanganyiko za zamaniUmesahau hapo cameo na odeoni