myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
upendo wetu
[emoji3] [emoji3]Jilete tu. Watakuona kesho kwenye tivii...
"Watazamaji, picha zinatisha"
Zizi lako limekaa kihasara hasara, istoshe shemeji yangu mashallah kaumbika[emoji3] [emoji3] zizi lako litaacha ugomvi hapa[emoji3] [emoji3]Kwani hawa sirii idioti hatuwezi kuwapoteza tukabaki salama? (yegomasika, moudgulf na Bob12)
Ni kutia fitna tu, tuna wa ho chi minh mmoja baada ya mmoja...
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] asee yani huna hakika kuwa zizi la Cole kuwa salama kiasi gani?[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sina uhakika[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125]
Amen[emoji120] [emoji120]Habarini wapendwa wote
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine mpya
Tumshukuru pia kwa watu wote walio maishani mwetu,mana wengine ni baraka na wengine wanatufundisha
Tunapopata wasaa tujaribu waombea na kusaidia wengine wenye madhira mbalimbali
Mungu atubariki sote,amin[emoji120][emoji120][emoji120]
Na subiri kwa hamu siku mtu atakapokuja kunikamata mateka[emoji3]Fitna hazisaidii,dawa ni kuwateka tu
Wakirudi watakuwa kama mchina[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] safi mkuu, muda mwingi tumekuwa tukikuombea usalama wako. Hata sijui kwanini tulikosa amani kutokuwepo kwako?
Sioni kama una maana yoyote kuwepo, unaondoka lini?