mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
07:5305:07
07:5305:07
Kwa watu woteAmani
AminaKila la heri siku ya Leo
Kwetu soteBaraka na upendo
AMUN RA05:10
AMUN RAHabarini wapendwa wote
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine mpya
Tumshukuru pia kwa watu wote walio maishani mwetu,mana wengine ni baraka na wengine wanatufundisha
Tunapopata wasaa tujaribu waombea na kusaidia wengine wenye madhira mbalimbali
Mungu atubariki sote,amin[emoji120][emoji120][emoji120]
07:5505:48
AmenAmin[emoji120][emoji120]
Haya yote kwa ajili ya mwanadamu
Zama za kwenda airport kuangalia madegeBA was my dream Airline wakati nikiwa mdogo nikikata mitaa ya Dar! [emoji23][emoji23]
Yegomasika
Na kwako piaMuwe na siku njema wote! [emoji124][emoji124][emoji124]