Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Vile vile supu hupunguza matumizi na upotevu wa mabaki ya vyakula. Mara nyingi mchuzi utumikao kutengeneza supu auhitaji vyakula kama vilivyo. Mathalani nyama au samaki vyaweza kuchunwa na mifupa yake huchemshwa kupata mchuzi. Au badala ya kutupa mifupa au majani basi unayatumia tena.
Hivyo ni muhimu ndugu wasomaji kujenga mazoea ya kutumia supu.
Hivyo ni muhimu ndugu wasomaji kujenga mazoea ya kutumia supu.