Kweli kabisaWaharibifu ni wengi
Achane naye huyuHapa pia baadhi wapo kazini, vinginevyo jiulize wanakula wapi, bundle wana pata wapi nk.
Msukuma amefamyajeOohooo msukuma huyooo...
Usiku mwema wakuu
00:2923:36
Na kwako piaUsiku mwema woote wanaolala
Mbwa wa Ulaya ana nafuu kuliko mtoto wa Afrika ....
Ndio ..Aiseeeh!
Siogopi, ila heshima ni kitu cha bureNa wewe waogopa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh!
Supu huficha ubaya wa ladha ya chakula iwapo itaandaliwa vizuri na kunywewa baada ya mlo. Iwapo itatokea mtu hakupendezwa na ladha au harufu ya chakula, supu humsaidia kuficha au kuisahau hadha hiyo. Hii humfanya aridhike kama vile tangu mwanzo amekula chakula kizuri (akipendacho). Kwa kuwa nivigumu kujua ni chakula kipi kitamfaa yupi, ni vyema kuwa na angalau supu pembeni kama ziada ya mlo.
Never mind
![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Endelea tu kushangaa
Na hivi nishapata kashfa ya kisaidia watu kuvunja mazizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yegomasika leta maua mengine bhana
Mmh, nani huyo
Kumbe kila ukisingiziwa huwa unafanya kweli? Kama ni hivyo utaumizwa[emoji3] [emoji3]Siivii ishaharibika jirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana nilisingiziwa sasa acha nifanye kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sad! Very sad !!!
![]()