Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Du nyoka tenaNa wewe umezidi... Kwani hauwezi kujenga zizi lako? Umekuwa nyoka kufukuza wenyeji?
[emoji23][emoji23][emoji23]kila la kheri basi
Nasubiri breaking news itakayokuja na "onyo picha zinatisha"
Mpare Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] LY yupo safarini sauzi bila pasipoti... Eti anazamia, sitoroweyi
OK, hapa Dar pale katikai ya jiji Mansfield street, kulikuwa na watoto wa mtaani, dogo dogo centre na wenyewe ilikuwa ukikatiza anga zao wanakupa nakoz. Kwa sasa wako nje ya mji na wamekuwa heshimaHapana,penye vibaka palikua mjin katikati kulikua na watoto wengi wa mitaani.saiv hakuna kibaka wala watoto wengi wa mitaan
YapVipi leo unawanga?
Mkuu kwemaNaifanyia mazoezi hii kazi[emoji15][emoji15][emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hata mimi naona....
Malizia mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora usiyaamini, si umerudi salama? Ila.... Nasema ila....