mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Haya bhanahahahaha
nimeuliza tu
Haya bhanahahahaha
nimeuliza tu
Ndio hali halisi mkulu anaomba lissu apone[emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhali ungekwama huko huko Mogadishu tu kwa kweli. Nilianzisha mpaka harakati za kukuombea hapa. Aaaargh !!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] that my boyKuna maisha baada ya breakups! He is a big boy, he can handle it. And It's no gonna be the end of the World! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ile umefika mlangoni tu,mtama[emoji23][emoji23],hujakaa sawa panga la ugoko,hujapiga kelele pilipili ya macho[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo utajua kama mke wa mtu ni sumu au vipi
Nashangaa anamnyatia shemeji yangu mpenziNi jeuri mnooo...
Sinema bubu unaona picha lakini sauti usikiiZama za Drive in Cinema. Leo mnaita ubarozi wa Marekani. mnaenda kuangalia sinema za bure
Sad so sadMbwa wa Ulaya ana nafuu kuliko mtoto wa Afrika ....
Ni kweliNdalla Kasheba alikuwa mtaalamu wa gitaa la solo haswa!
Naweza kusema kila mtu na bahati yake tu,
Alistahili kufika ama kufahamika zaidi kuliko ilivyokuwa.
Hivi Leo ulali au kwa sababu Bob amerudiHebu muache jakitoo ya buyenze alale bhana[emoji23][emoji23]
Au unataka usingizi ukate?
Halafu bado wako hanimuni hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa mkuumida mida aisee