mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahaha mkuu Leo unanipa raha SanaKweli kabisa, hapa nikuomba msaada kwa mzee wa liver, kichwa kichafu na yule PUPIL wasaidie mpango huu...
Hahaha mkuu Leo unanipa raha SanaKweli kabisa, hapa nikuomba msaada kwa mzee wa liver, kichwa kichafu na yule PUPIL wasaidie mpango huu...
Sijawah hata kuona wanachama wake[emoji23][emoji23][emoji23]Team carb
Kama unamjua Tabitha wewe ni muhenga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana [emoji23][emoji23][emoji23]mimi si muhenga sijafika huko bado
Zama za mababu wa carbJeans ziliitwa Dengris
Nimegugo[emoji23][emoji23][emoji23]Kama unamjua Tabitha wewe ni muhenga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha pole sana mkuu dahaKukaona tu jibapa na kasichana vimeenda bure... Ezi ifu nimekunywa fanta orange mbili..
Dunlop, adidas, filla nkRaba mtoni