carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni carb au kuna mtu kaiba password yake! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni carb au kuna mtu kaiba password yake! [emoji23][emoji23][emoji23]
Vizuri basi,acha kulalamaNimeshiba!
Wewe si ndo umembadilisha. Sasa unashangaa nini? Nililalamika jana hapa ukanicheka tena na vijembe juu !!!Huyu ni carb au kuna mtu kaiba password yake! [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba takwimu za uzi huu mpaka sasa mkuu kama una nafasi. Asante sana !!!Agiza na Mirinda nyeusi
Whats good yegoo.... au nikusalimie kikereweHi jakitoo!
[emoji120] [emoji120] Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amen mama.
Nipo....
Upo.....
Ni sisi......
Tupo.....................
Uwili uliokamilika...............
Whats good yegoo.... au nikusalimie kikerewe
Ninasikia raha kukugongea like sijui kwaniniVizuri basi,acha kulalama
Natumaini wote mko salama
Tusisahau kuwaombea wagonjwa na wasiojiweza
Wewe si ndo umembadilisha. Sasa unashangaa nini? Nililalamika jana hapa ukanicheka tena na vijembe juu !!!
On the light note: Wanaongelea likes tu. Nothing serious [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]