Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
wewe hapo😎Mzee gani huyo?
wewe hapo😎Mzee gani huyo?
Sasa!!! Yaani unavunja kwa makusudi, bado na vitisho vya kunipoteza juu?Ukiwa unaanza harakati za kuniteka ujipange, vinginevyo hutarudi ulikotoka. Nitakupoteza mazima[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unavyonifanyia siku hizi[emoji47][emoji47][emoji47]Huku furesh msela.
Hofu yangu huko na wewe pia dogo.
Kamba mguuniKuku mgeni hakosi
Weweeee niache na starehe zangu[emoji23][emoji23][emoji23]Ulizidi kwa kweli kelele zikazidi za chura ikanibidi niseme tu.
UkingoniMbio za sakafuni huishia
Usisifie sana, kuwa na akiba baba...U mwanamke wa shoka baby...
Lucky me !!!!
Sana..Likes za uzi huu zinawapa kiwewe baadhi ya memba majukwaani huko
Anatunga sheriaKobe akiinama ujue
PolepoleMwendo wa Kobe ni