ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hii timu imekuwa ya mchanganiMzee wa liver uko wapi?njoo tu huku maana mshafungwa tayari
HahahahahaYule ana positive energy kila anakoenda and nothing negative can happen to her. Naamini yuko salama chini ya ulinzi wa AMUN RA na akirudi hapa jiandaeni tu kuhesabu midola........
Money follows me...
I touch new money everyday....
Masaki is my home.....
Peninsula likes me.....
Yeuwiiii wallahi......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha nywele zipo sehemu nyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna ule usemi unaosema"akili ni nywele"
Sasa najaribu kuwaza tu mwenye upara yukoje[emoji23][emoji23][emoji23]
Kutembea na akiba muhimu sanaUmefungua baa kwenye gari[emoji23][emoji23][emoji23]
akiba haioziKutembea na akiba muhimu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa sisemi mengi ho chi minh ana upara mkubwa sana ndio maana tunavyosema akili ni nywele yeye upinga ila hata ukimuangalia tu msemo huo ni kweli
Mechi ilikuwa hovyo sanaYupo anaangalia game huko na majonzi juu
Muda utafika watazichapaWataishia kuongea tu mkuu!! Na, labda watazidisha vikwazo zaidi kwa Kiduku, au lasivyo watafute suruhu na Nk kwakuanzisha mzungumzo wao US, vinginevyo jamaa hata elewa.
Hahahakonge wapi mzee mzima naona likes tu we huonekani usije ukawa mzimu like za kimizimu weka post hizo
Mzee wa liver bila ISIS kuonekana timu haitoshinda hata mechi mojaHii timu imekuwa ya mchangani