Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mwovu ni masikini wa amani
Utachagua saizi wewe mwenyewe, nazunguka nazo kwenye gari kuokoa muda. Wahudumu wa bar wanapenda sana kujishebedua ukiagizaSawa babu[emoji23][emoji23][emoji23]
Me nitahitaji kisichana kimoja tu[emoji6][emoji6]
Kama ile unavyo... Naogopa kumaliziaHivi zina radha gani??
Yule ana positive energy kila anakoenda and nothing negative can happen to her. Naamini yuko salama chini ya ulinzi wa AMUN RA na akirudi hapa jiandaeni tu kuhesabu midola........Tangu sense kwenye korosho Ntwara imekuwa shida kuonekana humu. Ilikuwa tuonane nae last jumamosi ikashindikana..
Tumuombee arudi salama
Kuna ule usemi unaosema"akili ni nywele"Kwenye huu uzi mtu ninae mfahamu kuwa ana upara ni ho chi minh aliupata akiwa ana miaka 20.
Tena mazima (sijui anatuona?) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akipona unaondoka?[emoji23][emoji23]
Umefungua baa kwenye gari[emoji23][emoji23][emoji23]Utachagua saizi wewe mwenyewe, nazunguka nazo kwenye gari kuokoa muda. Wahudumu wa bar wanapenda sana kujishebedua ukiagiza
Sitaki kuwaza ulichotaka kusema[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama ile unavyo... Naogopa kumalizia
[emoji23][emoji23][emoji23]angekuwepo ungeshasikiaTena mazima (sijui anatuona?) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]