Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I CAN'T LOVE YOU IN THE DARK [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji443]
[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji447][emoji447][emoji447][emoji447][emoji447][emoji447][emoji447][emoji447][emoji447][emoji450][emoji450][emoji450][emoji450][emoji450][emoji450][emoji450][emoji450]
 
Mwanamke usimlie yamini, jiamini mwenyewe. vinginevyo usikubali penzi likupofue. Pia tambua mwanamke asili yake ni ubavu, na ubavu umepinda, hautanyooka maana ni maumbile yake. jitihahada za kuunyoosha lazima uwe mwangalifu vinginevyo utauvunja. Kwa leo tuishie hapa.
Tchaaaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mwenye macho na asikie... Hawa yuuu ipielo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani hapa ni likes only
Siasa kidogo, dini kidogo, ukabila hatutaki kabisa, likes kwa sana[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Huyo pepo lake ni kali, pepo mahaba mahabani. Alijizatiti zaidi alivyokwenda kuzindikwa huko Mogadishu! Hakuna namna hapo, akitaka anaweza yasambaratisha yote, hakuna lililosalama mbele ya jini mahabubu! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi imekushinda wewe
 
IMG-20170919-WA0015.jpg
IMG-20170919-WA0016.jpg
IMG-20170919-WA0017.jpg
IMG-20170919-WA0018.jpg
 
Acha nianze kutwanga miugali ya dona, mng'afu,mipweza,nazi,mikaranga,mihogo,ili nianze kusimamisha miguu yangu
Chunguza kwanza hali ya moyo wako shemeji. Tusije tukakukuta front page ya Shigongo " Njemba Yasimamisha Miguu kwa Masaa Sita Mfululizo. Yakata Roho"

Kupambana na hawa vijana inafaa kutumia silaha za kisaikolojia zaidi. Kill them with experience. Wakati wao wanadhani ili kushujaika ni lazima kwenda Kibo kileleni, waonyeshe kuwa hata kilele cha kakichuguu kadogo tu kinaweza kuleta faraja na ridhiko lile lile mainazi maumivu na shida za kupanda limlima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cc
ANDJUL
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom