andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Bob Bob msimolo wangu,sitaki mambo ya mvutano na vitisho juuila nenda kafanye maombi kuhusu hilo zizi lako
unajua....
acha niishie hapa mana naweza kutoa siri za somalia
Bob Bob msimolo wangu,sitaki mambo ya mvutano na vitisho juuila nenda kafanye maombi kuhusu hilo zizi lako
unajua....
acha niishie hapa mana naweza kutoa siri za somalia
CcMwanamke usimlie yamini, jiamini mwenyewe. vinginevyo usikubali penzi likupofue. Pia tambua mwanamke asili yake ni ubavu, na ubavu umepinda, hautanyooka maana ni maumbile yake. jitihahada za kuunyoosha lazima uwe mwangalifu vinginevyo utauvunja. Kwa leo tuishie hapa.
Yego kaokoka
Hapana jana wenge la usingizi saa nne tu nikakisalimisha kituoni(kitandani) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unavyonifanyia siku hizi[emoji47][emoji47][emoji47]
Hivi dadaako hawezi kubadilika kwa kugundua kuwa wote wanaomchekea ni walagai?Jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!
Hata huruma hakuna !!!
Mtaniulia dada jamani !!!
Ukiwa unapambana na hali yako hakikisha usitingishe ya mwingine[emoji23] [emoji23] [emoji23]Weweeee niache na starehe zangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani we ni kuku?Hapana jana wenge la usingizi saa nne tu nikakisalimisha kituoni(kitandani) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ISIS wapi mama sema hata masaki tutakuja njoo utusalimie kama kuna usalamaYewii
Hahaha
Haki ya mola wangu (in ISIS'S voice)
Kafukuze pepo la kuvunja mazizi ya watu kwa Bob kwanza[emoji23][emoji23]Mnaniita? Natoa huduma za kufukuza mapepo kwa ujira mdogo, eimeni! [emoji23][emoji23]
Kwa jana nilikuwa kifaranga kabisa wa kuku[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani we ni kuku?