Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jeshi siyo ulinzi
Ngoja nimuombe moudgulf jumapili tukazitwange pale Sokota stendi.Hapana sijawahi kwakweli
Hivi unakulaje ile kitu??
Dawa ya wapuuzi kama hawa wakiwasha moto mnafunga mpaka ili wafaidi. maana imesemwa "ndugu kwa ndugu wakigombana chuukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune" tulitumia raslimali zetu nyingi kuwaweka pamoja na tukawonya kuepuka ukabila ili wajenge taifa lao. Lakini tamaa ya madaraka inayosukumwa na ukabila inawatafuna.hawataki amani hawa..
Kama kawaidaKwa jana nilikuwa kifaranga kabisa wa kuku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We bundi??
Hapiganikiwi dadaako... Ni mbishi ajabu, labda atakavyo umizwa na miguvu ya vivulana vipenda sifa hivi atashika adabu.Nina wasiwasi na dadangu jamani...
Kaanza na miasali, tangawizi, pweza, malimao na sasa mabomu ya milonge. Please shemeji mpiganie mkeo !!!
Unaweza kumpata sehemu moja tu isiyojulikanaHivi kweli,mtu asiejulikana,utampataje?
Sawa babu[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nimuombe moudgulf jumapili tukazitwange pale Sokota stendi.
Kiwanja chetu cha kujidai enzi zetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilirudi kwa ajili ya ugonjwa tuShemejio zizi limemshinda ana kazi ya kulalama tu humu
Hadi huruma[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi zina radha gani??Ngoja nimuombe moudgulf jumapili tukazitwange pale Sokota stendi.
Kiwanja chetu cha kujidai enzi zetu
Bundi macho manne[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kawaida
Nabundika[emoji6][emoji6]
hahahahaCool sana mzee mzima.
Viv alikupiga lock kiongozi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo mengi kichwani, nshasahauSi umeulizia pipi kifua ama umesahau?
"Kwenye mwanga wa jua kali pia si kosa kuwamulikia wengine tochi ili waone"Mkuu hapa ni likes wacha mambo mengine we believe what we believe
Ukweli unakuweka huru sisi wakiristo tunaamini hivyo
Kinachoendelea nchi hii hakuna ambaye hajui labda kwa kujitoa ufahamu tu
Pray for TL