Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi pendwa, hauna chuki, uzi pendwa hautaki povu, Uzi pendwa ni mahali pa amani, tusingependa kupoteza memba yeyote hapa kwa ban, kwa sababu yoyote ile. Je mwaonaje mkiitana kwenye majukwaa husika mkamwagiane povu kisha mchongeane ili mpate na zawadi ya ban? Gonga likes mambo yaishe
 
Chunguza kwanza hali ya moyo wako shemeji. Tusije tukakukuta front page ya Shigongo " Njema Yasimamisha Miguu kwa Masaa Sita Mfululizo. Yakata Roho"

Kupambana na hawa vijana inafaa kutumia silaha za kisaikolojia zaidi. Kill them with experience. Wakati wao wanadhani ili kushujaika ni lazima kwenda Kibo kileleni, waonyeshe kuwa hata kilele cha kakichuguu kadogo tu kinaweza kuleta faraja na ridhiko lile lile mainazi maumivu na shida za kupanda limlima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeehh
Dooh!
 
Back
Top Bottom