Jamani me nimesaidia kuongeza ulivyosahau ujue[emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha
nilijua tu dokta asilia lazima uongeze vitu hapo
Full magego. Kicheko ni afya ati !!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
toka nirudi toka somalia sijamuona humu na ninavyosikia anaumwa,Kwa kweli anaendelea vizuri japo leo sijawasiliana nae
Ndiyo inawafanya vijana wa Kipare mpapatikiwe na mabinti wa Kisukuma?hahahaha
hii kitu muhimu sana
Kwani yanatunzika basi!naona mnapigania kutunza maziziz yenu
safi kabisa
hahahahahaJamani me nimesaidia kuongeza ulivyosahau ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu list bado yaendelea ujue
hahahahahahaKwani yanatunzika basi!
Huruma yenu itawale tu,nimechoka kuumiza kichwa changu