Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ushachuja?Nahis huu uzi ushachuja mods waufutege tu
Una changamoto zake lakini kuchuja bado
Kamata likes mkuu!
Ushachuja?Nahis huu uzi ushachuja mods waufutege tu
kabisa kabisakila jambo na wakati wake
ImemnyesheaAisifue mvua
Hakivunji chawaKidole kimoja
UdhaifuUmoja ni nguvu utengano
Ndivyo akuavyoMtoto umleavyo
hizi habari sizipendi kabisa
Mkubwa mwenzioMtoto wa mwenzio
Kila mmoja ana zakeAkili ni nywele
Old is gold
Ujumbe utakuwa ushamfikia laudi endi kilia. Mazizi mengine si ya kuvamia na viua vilivyonyauka na kusingizia eti uandaeitini. Muhenga anayeijua mitaa ya Dar enzi za Nyerere in details ukimbana eti oooh mshua alinisimulia. Mshua alikuwa mtaalamu wa mitaa ya Dar, night clubs, majumba ya sinema, mabasi na vikorokocho vingine visivyo na maana?Baby huyu muhenga huyu anataka atuvunjie zizi letu
Ukipenda boga, penda na ua lakeUkipenda UA penda na
ngoma 1999
Anaogopa mimbaMficha uchi
Watu wa pwani nanyi mna maneno duh !!!Nyani mkindu tukimkindule...
naona mnapigania kutunza maziziz yenuUjumbe utakuwa ushamfikia laudi endi kilia. Mazizi mengine si ya kuvamia na viua vilivyonyauka na kusingizia eti uandaeitini. Muhenga anayeijua mitaa ya Dar enzi za Nyerere in details ukimbana eti oooh mshua alinisimulia. Mshua alikuwa mtaalamu wa mitaa ya Dar, night clubs, majumba ya sinema, mabasi na vikorokocho vingine visivyo na maana?
Akomeeeeee !!!!!
Ulisalimika?????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huu msemo primary kuna mwalimu alikua anautumia kudaka visichan
Mguu huota tendeMzadharau mwiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiii babeUjumbe utakuwa ushamfikia laudi endi kilia. Mazizi mengine si ya kuvamia na viua vilivyonyauka na kusingizia eti uandaeitini. Muhenga anayeijua mitaa ya Dar enzi za Nyerere in details ukimbana eti oooh mshua alinisimulia. Mshua alikuwa mtaalamu wa mitaa ya Dar, night clubs, majumba ya sinema, mabasi na vikorokocho vingine visivyo na maana?
Akomeeeeee !!!!!
Na uzazi ungalipoUsitukane ukunga wakati