Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kiduku kawashika pabaya. Ana uwezo wa kuipiga Seoul na Tokyo. Wataendelea na vikwazo tu na kuchimba mikwara !!!Wataishia kuongea tu mkuu!! Na, labda watazidisha vikwazo zaidi kwa Kiduku, au lasivyo watafute suruhu na Nk kwakuanzisha mzungumzo wao US, vinginevyo jamaa hata elewa.
Jibapa tena?hata sielewi hapa[emoji30][emoji30]Nshasahau... Halafu wewe muongo, jibapa unalipigaje?
[emoji23][emoji23][emoji23]katoa onyo ujueHuyu mzee leo kachafukwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilihisi ni mzimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Robot[emoji23][emoji23][emoji23]
Mida yake ya kutupia bado
Mbona hujakimbia sasa[emoji23][emoji23]Nilihisi ni mzimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chemsha maji nikusaidie kunyonyoa kuku maana dogo mapishi we mweupe sana.Jogoo kakatwa shingo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji134][emoji134]jamani we si upo utapika?Chemsha maji nikusaidie kunyonyoa kuku maana dogo mapishi we mweupe sana.
Mzee wa liver huyo hapoMzee wa liver leo tena maumivu.
We dogo hujakimbia mi nitakimbiajeMbona hujakimbia sasa[emoji23][emoji23]