Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mzee wa liver huyo hapo![]()
Hata bao ni mchezo, aje tu tuushabikie!
Mzee wa liver huyo hapo![]()
Leta jogoo hilo limekatwa kichwa tena chemsha maji ndio kazi yako[emoji134][emoji134]jamani we si upo utapika?
Sasa ole wako tule vibichi[emoji23][emoji23][emoji23]
Me bado nipoWe dogo hujakimbia mi nitakimbiaje
HahahahaHata bao ni mchezo, aje tu tuushabikie!
Kabisa mkuu,, us akiri zimewaishia, kwa Kiduku hawakutegemea Kama angefanya makubwa Kama anayoyafanya, halafu tlamp muoga kinyama, mkwara ya maneno tu Hana lolote.Kiduku kawashika pabaya. Ana uwezo wa kuipiga Seoul na Tokyo. Wataendelea na vikwazo tu na kuchimba mikwara !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu dogo ni shida. Hata sasa sijaamini. Si ajabu huko kaliko kanapanga mikakati mipya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahNimetoa mahali kabisa huko sitaki kipingamizi mzee mwenzangu.
Nimenunua shela atakuwa nalo vipimo nimechukua vya carba najua huyo viv atakuwa nalo.
Kama ulivyofundishwa a e i o u utotoni ila unazitumia ukubwani sasa hivi
Alikua anaishi chini ya vitisho vya ho chi minh, sasa ameshajipangaAisee. Kwa hiyo akaenda kupata ujuzi kutoka Somalia - as in Black Hawk Down? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anataka kukusaidia kulea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahah
Yani dogo hata miaka 7 hajafika ushaanza posa
shindwaaaaaaaaaaa