moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mwenyekiti wa hicho chama kwa sasa ni nani?Ni kweli hiki chama hukijui au unatania. 2020 tutamsimamisha Rungwe na Staa mmoja wa kike anayekiwakilisha chama vizuri kimaumbile !!!
Mwenyekiti wa hicho chama kwa sasa ni nani?Ni kweli hiki chama hukijui au unatania. 2020 tutamsimamisha Rungwe na Staa mmoja wa kike anayekiwakilisha chama vizuri kimaumbile !!!
Hahahaha, [emoji3] [emoji3] [emoji3] itoshe mkuu[emoji3] [emoji3]Siku zote Mkuu hata kwenye huu uzi. Hakuna sheria humu inayokataza kumkemea muovu yoyote yule.
mtu mwenyewe anajiita kichwa kichafu halafu nimpe mwanangu amleeAnataka kukusaidia kulea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahaKwenye huu uzi mtu ninae mfahamu kuwa ana upara ni ho chi minh aliupata akiwa ana miaka 20.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizo mbio Angalia Usianguke mkuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nilikuwa napita tu hunter
yule ndo mama wa midolaYule ana positive energy kila anakoenda and nothing negative can happen to her. Naamini yuko salama chini ya ulinzi wa AMUN RA na akirudi hapa jiandaeni tu kuhesabu midola........
Money follows me...
I touch new money everyday....
Masaki is my home.....
Peninsula likes me.....
Yeuwiiii wallahi......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani[emoji134][emoji134]mbona KK ni mtu mzuri tu[emoji23][emoji23][emoji23]mtu mwenyewe anajiita kichwa kichafu halafu nimpe mwanangu amlee
aende zake huko,huyo hata mahari yake sitaipokea kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tumbili wa ulaya huyo, ee mkuu?
nipo makini mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizo mbio Angalia Usianguke mkuu