mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaNani kama baba?
Nani kama mama
HahahahahaNani kama baba?
Denda lina raha yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahahah tungekuwa tunawaza hivi vidudu germs denda wala tusingelitaka asilani.
AMUN RAbaraka za Mwenyezi Mungu ziwe nasi
AMUN RAwagonjwa wapate nafuu
AMUN RAkila mtu apate mahitaji yake
Kwa kila postlikes
Denda lina raha yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
13:4906:23
Kama kawa kama dawaMwendo kama kawaida.
Pakua likes kwa kwenda mbele
Na kwako pia![]()
Muwe na siku njema wana likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmegoma kuamka eeh
Leo hadi Numbisa kachelewa kuamka duh!
Magazeti ya leo
Hiyo nayo habari etiNaona habari kubwa leo magazeti ya udaku ni ile ishu ya mwanamuziki Diamond kukiri kuzaa na mwanamitindo(kama anavyojiita)Hamisa Mobeto
Mkuu habari ya leoHabari za asubuhi kwa wale mliofikwa na asubuhi, habari za jioni ambao sasa ni jioni mahali mlipo, habari za mchana, habari za usiku kwenye maeneo yote mlipo duniani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani heshima yake imeshuka?[emoji47][emoji47][emoji47]
Kijana unadharau za rejareja wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AminaHivyo tuombeane kila la heri siku hii iende salama na iishe salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yego kutiki mwanawasucarbamazepine, shukrani kwa kutushushia vichwa vya habari vya magazeti ya leo! [emoji120]