Kumekucha na baraka za Jumamosi zote ziko kwetu milele yoteKumekucha
Ahsante.Nzuri.Karibu Idd
Good morning mashoodjr[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji99] [emoji99] morning comrades
Naleo Tanga tumepewa kamvua basi tuna shukuruKumekucha na baraka za Jumamosi zote ziko kwetu milele yote
AMUN RAKweli na mshukuru sana Mungu kwa kunipa siku nyinge, siku mpya machoni pangu. Najua ni kwa neema tu ndio maana nipo hapa.
Asanteni wote kwa kuamka na kuwepo kwe uzi huu pendwa.
Hey Babe S hope umeamka salama .
Mapenzi yangu kwako.
Raha! Napenda sana sana mvua!Naleo Tanga tumepewa kamvua basi tuna shukuru
Oh my! Unakaa upanga?Karibu Upanga uje uilove kwa vitendo
ExactlyKichwa Kichafu aka 40K
AhsanteSafari njema