Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

57.jpg
 
Mchawi wa Kiholanzi aliyekuwa akiogopa kupanda ndege na mchawi nguli wa Kifaransa. Hawa watu hawa, wamefanya mengi ambayo mpaka leo yanaifanya bod ya Arsenal ishindwe kuchukua hatua dhidi ya mzee Wenger
Mzee wenger sidhani kama atapata vijana kama hawa tena,ukiachana na mafunzo ya mwalimu walikua wanatumia jitihada binafsi kutafuta point 3
 
Back
Top Bottom