myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Na kwako piaAmani kwenu
AMUN RAMuwe na asubuhi njema na yenye baraka wapendwa
Hahaha mkuuMajaribu haya ya asubuhi subuhi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124]
[emoji109] [emoji109] nipe gwala[emoji109] [emoji109]Simba sports club ya kimataifa. Mpaka wazungu wanaikubali [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Good morning carbaPole sana
Nzuri mkuuHabari zenu rafiki, kumekucha
AMUN RAMungu aliyeumba mbingu na ardhi atupe afya njema leo
AMUN RAAtufanikishie pale tulipokwama
HahahahahaDuu tangu darasa la kwanza watu mligegedana!!!!? Ndiyo maana viwanda vilikufa nchi hii
AMUN RAMwenyezi mungu baba atuongoze kwenye Heri zake na atukinge na Shari zake
AminaEwe mwenyezi Mungu imarisha afya za waja wako wote wenye maradhi
AminaEwe MOLA wetu, Tuongoze kuyarenda yale aliyo tuamrisha na kuyaacha yale uliyotukataza
AminaEwe Mola wetu , waangazie NURU wale wote wenye kesi za kuonewa, walio dhulumiwa wapate staili zao kwa haki
AMUN RAEwe moja wetu wajaalie kina mama wote watakao jifungua Leo wapate watoto wema, wenye afya njema