moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huyu mdada.....
Huyu mdada.....
AMUN RA
Swali maridadiAsee huo mtaa umekatiza kwenye miji mingapi?
Mia mia
Habari yako broNimeshtukaaa... Haya katibu endelea...
kweli,,Yap baada ya hapo Brazil imekuwa uchochoro tu
Chura ,konokono ,mijusi vipi hakuna kwenye hiyo listiChakula pendwa cha Japan ni wali na samaki wa kuchemsha
Mh!Huyu mdada.....
Na walikuwa wanapiga msosi wa haja. Siyo hawa wachezaji wetu, ati anakula chips na kikwapa cha kuku!!! halafu anajidai naye ni bonge la mchezaji[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hahahahah
wahenga walikua wanakipiga haswaaaa
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wote waongo hao wasubiri waleteane Ukimwi nyumbani. Wawaache watoto wao wakiwa yatima