mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za asbh TANGA
Na save hii kwa matumizi ya baadaye
AMUN RA
Mpira ulikuwa enzi hizo si mchezoJamaa alikuwa kiboko sana!
HahahhaaMashetani wekundu wanatusumbua sana mtaani
ila ni haki yao mana toka 2013 walikua exile
Asee huo mtaa umekatiza kwenye miji mingapi?The longest street in the world is Yonge street in Toronto Canada measuring 1,896 km (1,178 miles)
Nyumbani ni nyumbani utafika tuLabda kwa dharura tu.
Mfano Mzazi ndio anaishi huko.
Amepatwa na maradhi, na Wewe ndio Mtu pekee wa kumfuata