In Sha AllahWakuu naomba radhi, mwili unahitaji mapumziko. Tukutane tena inshaallah baada ya masaa 6
Wala hujakosea KiongoziMi mzima, naona hii ndiyo mida yako pamoja na mkuu konge
Ni furaha kwangu KiongoziMi mzima,
Haswaa.naona hii ndiyo mida yako pamoja na mkuu konge
Nimekubali