Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
kabisaMaisha kweli ni mafupi
kabisaMaisha kweli ni mafupi
Kumbuka ile Fainali ya UEFA CHAMPION LEAGUE 2002. Baina ya Real Madrid na Bayer Leverkusen. Hebu kumbuka ile cross ya ajabu ya Carlos na goli alilofunga Zidane.Roberto Carlos, mtaalamu wa free/direct kick!
Roberto Carlos, mtaalamu wa free/direct kick!
Labda kwa dharura tu.Sipiti hapa hata kwa bunduki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa na msuli wa nguvuakimpa mtu upaja lazima atoke nje ya uwanja
hatariAlikuwa na msuli wa nguvu
Sema mkuu HARUFU
hahahahaMlonge ujaweka hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Akili za binadamu ni kuua tu.[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Nakujulia Hali SwahibaSema mkuu HARUFU
Alikuwa akipiga shuti golini ni kama amerusha mkuki[emoji3] [emoji3] magolkipa walikuwa wanakwepa[emoji3] [emoji3]akipiga shuti likaelekea golini makipa walikua wanaruka kiushahidi
Umeona eeehnaona umeamua kuingia fronti mwenyewe
safi sana
Bado unahitajika KiongoziNadhani ni muda wa kulala sasa
Mi mzima, naona hii ndiyo mida yako pamoja na mkuu kongeNakujulia Hali Swahiba
Roberto Carlos.Kumbuka ile Fainali ya UEFA CHAMPION LEAGUE 2002. Baina ya Real Madrid na Bayer Leverkusen. Hebu kumbuka ile cross ya ajabu ya Carlos na goli alilofunga Zidane.