Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e974f804a2d560cfcf717f7d54d95b00.jpg
La pruga
 
tutangoja tu
najua hata sisi tukifa kuna kizazi kitashuhudia arsenal nzuri kama tulivyoishuhudia sisi miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000
Usisahau kuwa Wenger aliikuta Arsenal ikiwa shimoni na hayo ambayo unajivunia kwa miaka uliyotaja, zilikuwa ni kazi za mikono yake. Labda ungejiuliza kimetokea nini kilichobadirisha Arsenal. Nadhani Wenger anatosha kwa malengo ya kibiashara ya Arsenal
 
Back
Top Bottom