ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Well said broUzi pendwa, hauna chuki, uzi pendwa hautaki povu, Uzi pendwa ni mahali pa amani, tusingependa kupoteza memba yeyote hapa kwa ban, kwa sababu yoyote ile. Je mwaonaje mkiitana kwenye majukwaa husika mkamwagiane povu kisha mchongeane ili mpate na zawadi ya ban? Gonga likes mambo yaishe
siku zimeenda..