Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ujumbe utakuwa ushamfikia laudi endi kilia. Mazizi mengine si ya kuvamia na viua vilivyonyauka na kusingizia eti uandaeitini. Muhenga anayeijua mitaa ya Dar enzi za Nyerere in details ukimbana eti oooh mshua alinisimulia. Mshua alikuwa mtaalamu wa mitaa ya Dar, night clubs, majumba ya sinema, mabasi na vikorokocho vingine visivyo na maana?

Akomeeeeee !!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom