mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwa staili ipi
Kwa staili ipi
[emoji120][emoji120]carbamazepine, shukrani kwa kutushushia vichwa vya habari vya magazeti ya leo! [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lile Bomu ulileta lakinihahahahaha
nilienda kujitambulisha kwa mama Viv japo nimepata kozi fupi pia😉😉
Wala sio ubwabwa
Lazima utumie na mbogaHali wali mkavu
Maisha kweli ni mafupihahahahaha
acha watu wale maisha bhana
mana yenyewe mafupi kweli
AMUN RAAMUN RA
Hivi nani kaiba usingizi lala huko msela.[emoji120][emoji120]
Halafu jana sikukuona mida yetu ile
Kwema lakin
Koroma ni Nazi mbovuHuchagua koroma
Napendekeza awe ISIS yuko wapi siku hiziNatafuta mdhamini aiseeh
Yapukweli upo sana
kipindi hicho watoto walikua wanajishuhughulisha na michezo inayochangamsha mwili na akili kwa pamoja,sasa hivi ni akili zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfute juu, maana watu wa siku hizi hawashuki
Kama wewe unavyowinda shyNdiye mla nyama, maana windo halitaki kelele
Waache wapambane na hali zao tu.Naona habari kubwa leo magazeti ya udaku ni ile ishu ya mwanamuziki Diamond kukiri kuzaa na mwanamitindo(kama anavyojiita)Hamisa Mobeto
Mkuu habari za asbh
Hata masaliaHuwa hakirudi kwa mgonjwa
Siku hizi akioza mmoja unamrosti tu hali ngumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wote wameoza
Watoto wa Siku hatari sanaKazi kulea mwana
Kipanya the Great