[emoji3] [emoji3] [emoji3]Team carba ni ile ya kupenda misambwanda[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi sipo kule
Wachawi wawili wa kibrazil, kushoto Original Ronald na kulia ni Robert Carlos. Hawa watu hawa....kumbuka tu mwaka 2002 Japan & South Korea
naona umeamua kuingia fronti mwenyeweVyakula Vinavyosaidia Kutibu Tatizo la Kukusa Choo
1. Tende
Tende zikiwa kavu au kama juisi inasaidia kuondoa tatizo la kukosa choo. Tende zina fiba kwa wingi hivyo kusaidia zoezi la usagaji chakula tumboni. Pia Tende zina kemikali ya sorbitol– aina ya sukari ambayo inatajwa kusaidia usagaji chakula.
Anasema amesafisha kichwa ili ampate Vv[emoji3] [emoji3] [emoji3] mpambe wake carb anashabikia [emoji3] [emoji3] [emoji3]hahahaha
sina mkwe kama huyo
akipiga shuti likaelekea golini makipa walikua wanaruka kiushahidiRoberto Carlos, mtaalamu wa free kick!