hahahahaha
nitamuandalia interviewAcha kumsingizia bhana,jamaa katulia sana tu[emoji12][emoji12]
Kosa lako ni kwamba unamtetea muharibifuNimefanya nini tena
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Team carba naona mnajongea in da hausi
Pamoja sana KiongoziRespect kwako pia
Naona unasema nisikutishe huku unaogopaWeweeee usinitishe[emoji23][emoji23]
Hii kitu ni nature
Nakuoneni huko mkitembea tembeaTunakaribia kuhama kijiwe[emoji6][emoji6]
hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Bob umepata mkwe