Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka huu haya majanga ya asili mbona yamekuwa mengi namna hii? Sasa hivi kuna hurricane Maria na Jose, huko Mexico tetemeko limendoka na watu 40+ Balaa hii!
Maria imechepuka mpaka Category 5. Hatari sana. Ikijichanganya ikakata kona kushoto kidogo tu tunalo tena. Sijui ndiyo globo womingi au ndo nini sijui. Sad !!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


edbcf6153930204220bae791576f3470--charlie-chaplin-laughter-quotes.jpg
 
Uzi pendwa, hauna chuki, uzi pendwa hautaki povu, Uzi pendwa ni mahali pa amani, tusingependa kupoteza memba yeyote hapa kwa ban, kwa sababu yoyote ile. Je mwaonaje mkiitana kwenye majukwaa husika mkamwagiane povu kisha mchongeane ili mpate na zawadi ya ban? Gonga likes mambo yaishe
Kamanda wa pwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom