HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Habarini wapendwa wote
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine mpya
Tumshukuru pia kwa watu wote walio maishani mwetu,mana wengine ni baraka na wengine wanatufundisha
Tunapopata wasaa tujaribu waombea na kusaidia wengine wenye madhira mbalimbali
Mungu atubariki sote,amin[emoji120][emoji120][emoji120]
AMEN.
AMEN.
AMEN.
AMEN.
AMEN