MY EYES
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 234
- 602
Mkuu naona waitisha majinaMalaki
Mkuu naona waitisha majinaMalaki
Mkuu naona waitisha majina
Goodmorning tooGood morning Mkuu
Sawasawa mkuuVitabu vya kwenye biblia hivyo
Ewe Mola wetu liangazie NURU taifa letu lisimame kwenye umoja wake na kuepukana na utengano kwa sababu yoyote iwayo
Amin, nawe pia mremboMuwe na asubuhi njema na yenye baraka wapendwa
Habari yako mkubwaWe waitaka lini?
Mwenyezi mungu baba atuongoze kwenye Heri zake na atukinge na Shari zake
Ewe MOLA wetu, Tuongoze kuyatenda yale uliyo tuamrisha na kuyaacha yale uliyotukataza
Ewe mwenyezi Mungu imarisha afya za waja wako wote wenye maradhi
Ewe Mola wetu , waangazie NURU wale wote wenye kesi za kuonewa, hivyo, wote walio dhulumiwa wapate staili zao kwa haki ya jina lako Yarabi
Ewe mola wetu wajaalie akina mama wote watakao jifungua wana siku ya leo, wapate watoto wenye afya njema na wawe watoto wema kwa wazazi na walo na maadili mema kwa jamii