Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weee...weeee...Shimba alilipamba na
Misambw...
Kubong'oa...
Halafu useme liliishia hapo? Mbona unakuwa muongo! Ningelikuwa mama wa kambo wako,ningekufinya vimashavu vyako hivyo na kukulapua vibao vya haja[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Jamani[emoji134][emoji134]
Kilichoendelea si kile ulichoscreen shot?halafu sijadanganya nimesema ukweli nusu[emoji125] [emoji125]
 
Unataka kusema na yeye anakula[emoji224][emoji224][emoji224]sahii??[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakaribia kukata mwaka sijaonja hao viumbe jamani. Mbwembwe za humu zisichukuliwe kama ndiyo uhalisia. Jangwa la Sahara lina unafuu nikilinganishwa nalo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…