Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I-do-whaat-I-want-funny-pictures-12.jpg
 
Weusi chini ya kwapa sio ugonjwa ni mabadiliko ya ngozi unapata watu wengi na kuwafanya wasiwe comfort kuvaa nguo za wazi mbele za watu ,Kupatwa kwa weusi makwapani una sababishwa na kunyoa mara kwa mara,ngozi kupata dead cells
 
Home remedies
Unaweza ukatoa weusi kwa kutumia vitu halisilia ambayo ni salama na havina chemicals kama

Lemon-chukua limao au ndimu kata vipande duara upake sukari au asali kwa juu ,then chukua hivo vipande ujipate makwapani mara 2 kwa siku acha kwa dakika 10 kabla ujaenda kuoga then osha kwa maji vugu vugu ,lemon inatumika kama bleach kutoa iyo rangi na kutoa dead cells kwenye iyo ngozi ya kwapa.
 
Baking soda-inasaidia kutoa dead cells kwa urahisi ,changanya baking soda na maji iwe nzito nzito paka kwapani acha kwa dk 10 osha na jikaushe fanya hivyo mar 2-3 kwa wiki ,endelea na zoezi mpaka utakaopona umeridhika na mabadiliko.
 
Viazi ulaya/mbatata- menya viazi kata vipande jipake makwapani yale maji yake yakiingia kwenye ngozi yanatoa rangi nyeusi au unaweza kuponda kikiwa kibichi na kujipaka kwa dk 10-20 utanawa utafanya hivyo mara 2 kwa siku mpaka weusi utakapo isha.
 
Back
Top Bottom