carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Lipi hilo?Utaokoa jahazi linalozama hivi karibuni.
Lipi hilo?Utaokoa jahazi linalozama hivi karibuni.
Hahahahaha sijui nani alinipiga hii picha.
Namshukuru Mungu kwa kila jambo.Nilikuuliza kule tangu juzi bila majibu mpaka sasa.
Sasa mkuu,hiyo tiki uliyoiweka inamaanisha jibapa ndo linabong'olewa? Au sivyo hivyo(tuanze kukimbizana na bakora humu)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuamini kila day. [emoji6] [emoji6]Mimi na wewe tena[emoji6][emoji6]
Inamaana hata yale matunda niliyotuma wamekula??[emoji22][emoji22][emoji22]Kule kuna tatizo. Meseji zote zimefutwa. Hakuna hata moja. Mods wanasema ni tatizo limewatokea wengine pia na wanafuatilia ila wanasema hakuna mtu aliyevamia. Nivumilie kidogo....
Wewe huko kwako vipi? Kuna unafuu wo wote?
Zis izi soo mii samutaimuz
Maana ujirani ulikuwa unaisha leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lipi hilo?