Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Zitafika kwa yule ndugu[emoji8][emoji8]mslimie shemeji wa jirani[emoji6]
Hahahaha Marahabaa moudySHIKAMOO Numbisa, kurasa tatu umefunika post zako!!!
Tumeongea lugha mbili tofauti naona,inawezekana sijamuelewaKwani haujamuelewa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa harakati nakuonaUzee huu we acha tu.
HayaZitafika kwa yule ndugu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitakuja leo nione[emoji6]
Ni maombi tu kwa kweli.Bado hakuna positive changesKule kuna tatizo. Meseji zote zimefutwa. Hakuna hata moja. Mods wanasema ni tatizo limewatokea wengine pia na wanafuatilia ila wanasema hakuna mtu aliyevamia. Nivumilie kidogo....
Wewe huko kwako vipi? Kuna unafuu wo wote?
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]basi siendi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo sidhani kama nitafika leo kaniwakilishe
Mbio za sakafuni