Hahahaa itakua maana nina dozi ya uji wa hamira niwe bonge zaidiIla mwili unamzidi,usijali sana...
[emoji6][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]basi siendi tena
Si umeniambia nikwende?au umesahau?Uende wapi tena?
Kwani umewahi kula jongoo wa baharini wale weusi?[emoji23][emoji23][emoji23]yaani akili yako
Unamaanisha "konokono"[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kupigwa nje nje hamna pesa za kirahisi hivyo
HapanaKwani umewahi kula jongoo wa baharini wale weusi?
Nina hamu na jibapa la Tmk.Niongee na moudgulf ili tukazinyanyase hashua jumapili?Samahani[emoji120][emoji120]
Harakati zipi? Hizi hizi zisizo na mwisho mzuri?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa harakati nakuona