Niko nje ya mji[emoji22][emoji22]Nina hamu na jibapa la Tmk.Niongee na moudgulf ili tukazinyanyase hashua jumapili?
Sitaki.Kumbukumbu ninazo kwa matumizi yangu ya baadaeNakuomba
Hutaki zawadi ya matikiti na mbegu za maboga?nimekuwekea kule[emoji6][emoji6]Sitaki.Kumbukumbu ninazo kwa matumizi yangu ya baadae
Kudumisha mila zenu.Kabula wangu anakusalimu,anakushauri usitumie dayati,ni matumizi mabaya ya pesa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa itakua maana nina dozi ya uji wa hamira niwe bonge zaidi
Mimi? Saa ngapi?Si umeniambia nikwende?au umesahau?
Basi,geti rede,muda wowoteHapana
Hahahah shikamoo tamu.Unapenda shkamoo[emoji23][emoji23]
Mtoto wa airport[emoji87] [emoji87] [emoji87]
TOA LIKES KWENYE POSTI
LIKES NAWE UPATE LIKES
Vigezo na masharti kuzingatiwaTOA LIKES KWENYE POSTI
LIKES NAWE UPATE LIKES