Usijali.Tafuta hela maana gharama zitakuwa upande wako.Sichunwi hovyo, nikugharamie kwa maslahi gani?Utaniambia wikimoja kabla niweke mambo vizuri[emoji6]
Mwee ungejua nina besi kali kwaya sauti ya nneUna kicheko kizuri, sauti nyembambaa!!! Lool
Ni kweli
Ujumbe murualikes kwa likes
Me najigharamia mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Usijali.Tafuta hela maana gharama zitakuwa upande wako.Sichunwi hovyo, nikugharamie kwa maslahi gani?
Ni ukweli na uhakikakila jambo na wakati
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] lugha za mtaani kwenye ubora wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile shikamoo yako si ilimaanisha eee? Usiwasifie kwa uzuri mama zako wadogo..."maandiko yamesema,sio mimi"Una kicheko kizuri, sauti nyembambaa!!! Lool
17:1612:06
Uzee huuUshasahau eeh
Post upate likeslikes
Hata mwizi na mchawi?kila mtu ana umuhimu wake