moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tutatembelea zizi tuonje mapishi ya KAMONGO, SATO NA SANGARA yaliyopikwa na mkiboshoNajua sana tuu yaanii utaona tuu
Tutatembelea zizi tuonje mapishi ya KAMONGO, SATO NA SANGARA yaliyopikwa na mkiboshoNajua sana tuu yaanii utaona tuu
Basi jiandaeWala sikatai,nipo tayari kugharamiwa...
Huwezi jua,labda itakuwa ni hela ya mdogo wangu?
Wamo humu wana gonga likesHahahahaha wacha Waje wajibu hii
[emoji23][emoji23][emoji23]Na mipicha picha ya evidensi juu kisa matikiti ya mia tano tano manne[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nayataka mimi hayo???
Naja ivoo...Basi jiandae
Namba zitasomeka mpaka KENYA. waache kubweka bweka ili muhimili wa utoaji haki utekeleze majukumu yake kwa mujibu wa sheria mama KATIBAKenyatta adai Mahakama ya kileleni imepindua serikali yake halali
Najua sana tuu japokuwa sio mkibosho mieJe wewe unajua kuwapika hao samaki mkibosho wetu?
Hawa watu hawa, hawa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]BOKO Haramu watangaza ajira
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] safi sanaCanada wakimbizi wakaribishwa
Asee, udini kwenye kwenye uhalisia wake[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125]Slovakia haitaki kabisa wakimbizi wa imani ya kiislamu
Yu? Yu kuuk nekedi samutaimuzi?Zis izi soo mii samutaimuz