Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yu? Yu kuuk nekedi samutaimuzi?

Shauri yako......
Usije sema kuwa hujaonywa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba itashika moto halafu ...kuita watu waje wazime wanakuta mazingira ni hayapitiki? Hata sijui ni barabara! Au labda ukute moto sio mwingi kwasababu riakisheni ilikuwa ni ndogo kutokana na usafi wa maeneo ya jikoni,moto ukagoma kuhamia juu..(hata sijui kama maelezo yana uhusiano)
Moto ni hatari sana kwa kupikia ndani...pole sana shemeji jakitoo
 
Ni misamaki ya pwani huko. Mingine michungu ka shubiri. Mingine inabushisha. Tubakie na sato na sangara wetu tu babe pamoja na dagaa wa Kigoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mzee una maneno ya makwazo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,misamaki inabushisha?
 
Hao siyo konokono wala "konokono* hao ni CHAZA bana. Konokono ni wale wa ziwani, mtoni na vichakani. Wavunwao baharini wote ni samaki jamani.
Umesemaa[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wala "konokono" [emoji23] [emoji23] [emoji23] yu no zem veri welo eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…