Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mi simjui huyo mtu, anaishi wapi huyo? mi nimependa hiyo avatar yako sijampenda huyo uliyemtaja[emoji3]Wewe na kichwa kichafu mnajuana???
[emoji3] [emoji3] kuleni samaki hawa wanarutubisha uzazi na kuleta heshima ya familia[emoji3] [emoji3]Ni misamaki ya pwani huko. Mingine michungu ka shubiri. Mingine inabushisha. Tubakie na sato na sangara wetu tu babe pamoja na dagaa wa Kigoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh, kama ni hivyo uje hapa Samaki samaki city centre nikuulize.Niulize mimi kwa niaba yake
[emoji23] [emoji23] Shemeji SYB kasema wengine wanabushisha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Utawajua tu[emoji3] [emoji3] hata mbagala kwa SWB wanapatikana
Ni kufanana tu, nyi bado ni mnavyo vitu tofauti na baba zenu.Kuna mtu alikuja na utafiti kuhusu wadada wa JF kufanana na baba zetu ohooo shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23]